Dar es salaam sunset

Dar es salaam sunset
Dar es salaam sunset

Sunday, June 3, 2012


swala la kunyoa ni nyeti na ndio maana kuna all sorts of KWA KINYOZI!

ndio bongo kama ilivyo kilasiku!

                                  lunch a bit greasy kama kawa!
Hapa waungwana nasikia mateja walisepa na meli wakaacha nanga!

Hapa gari imeondoka na kilakitu chake, injini tu iliwashinda ndio maana ushapewa onyo ''park at your own risk''

si unajua tena mambo ya distributor za Suzuki

a classic datsun in a modern Rally!



i love them classics

ulinzi wa hali ya juu!

kwanza gwaride!

for your inspiration!

Kariakoo..nguvukazi

Kariakoo..the market!